Katika ulimwengu wa biashara na teknolojia, jina la Samuel Efrem Mosha au Samalen limekuwa maarufu sana, si tu Tanzania bali pia kimataifa. Akiwa na umri wa chini ya miaka 21, Samuel ametajwa kuwa kijana mdogo tajiri zaidi nchini Tanzania, akimiliki biashara na mali zenye thamani inayozidi 1.1 bilioni TZS (takriban $440,000 USD).
Biashara na Brand Anazomiliki
Samuel Efrem ( Samalen) ni mwanzilishi na mmiliki wa brand mbalimbali zenye thamani kubwa, ambazo zote zimesajiliwa nchini Marekani. Hizi ni baadhi ya brand zake pamoja na thamani zake:
1. SAMALEN TV – $150,000
2. SAMALEN SHOP – $60,000
3. SAMALEN VPN – $40,000
4. TEKNOLOJIA KIGANJANI – $55,000
5. SAMALEN TIPS – $35,000
6. SAMALEN MUSIC – $30,000
7. SAMALEN DEVELOPERS – $45,000
8. SAMALEN TECH – $50,000
9. SAMALEN FM – $55,000
10. SAMALEN RESTAURANTS – $70,000
11. TECH EZE – $40,000
12. SAMALEN KONEKT – $30,000
13. SAMALEN SAFARIES – $76,740
14.DUKA HURU – $276
15. Jamii Pesa – $168
16.Students UniLoan – $800
17.SAMALEN GAMES – $1280
18. SAFARI SALAMA – $21,800
19. TECH SHOP – $4,700
Mbali na hizi, Samuel pia anamiliki mitandao yake binafsi yenye thamani kubwa, ikileta mapato makubwa hasa nchini Marekani.
Mikataba ya Kibiashara na Ushirikiano wa Kimataifa
Samuel ameweza kufanya kazi na makampuni makubwa duniani, yakiwemo:
• Fourthwall
• Shrtfy
• Richlane
• Teknolojia Kiganjani
• Go Music
• Makampuni mengine mengi ambayo yamehifadhiwa kwa siri kulingana na makubaliano ya kibiashara.
Tuzo na Mafanikio
Samuel Efrem (Samalen) ametambuliwa na Forbes na kwa sasa yupo chini ya uangalizi wa kuingizwa rasmi kwenye chati mbalimbali za matajiri vijana. Aidha, ameshinda na kushiriki tuzo nyingi, ikiwa ni pamoja na:
• Mashindano ya Ideation Bootcamp – Ambapo alishinda nafasi ya kwanza, mashindano yaliyoandaliwa na IBUSC na HEET.
• Tanzania Global Awards
• The Diplomats (UN Awards)
Historia ya SAMALEN TV na Changamoto
Mwaka 2017, SAMALEN TV ilifikisha watazamaji zaidi ya 800,000, lakini kwa bahati mbaya ilidukuliwa na kufutwa YouTube. Baada ya mapumziko mafupi, Samuel aliamua kurudi kwa nguvu mpya mwaka 2020, na sasa SAMALEN TV ina zaidi ya 500,000 subscribers. Pia, anamiliki channel nyingine 2, ikiwemo SAMALEN TECH.
Vifaa vya Gharama Anavyomiliki
Samuel pia anamiliki vifaa vya gharama kubwa, ikiwa ni sehemu ya mafanikio yake:
• Microphones (Wireless & Wired) – $1,500
• iPhone 15 Pro – $1,300
• Samsung S20 5G – $900
• iPhone 14 Pro – $1,100
• iPhone 12 Pro Max – $1,000
• MacBook Pro 2017 – $1,500
• MacBook Pro 2020 – $2,000
• Apple Watch Series 6 44MM – $450
• Used Submariner Oyster 41mm Rolex Watch – $12,000
• Harman Kardon & JBL Speakers – $3,500
• Vifaa vingine vya thamani kubwa
Matarajio ya Baadaye
Inakadiriwa kuwa kufikia mwaka 2030, Samuel Efrem Mosha (Samalen) atakuwa mmoja wa wamiliki na wawekezaji wakubwa Tanzania, huku SAMALEN TV ikitarajiwa kuwa kampuni kubwa zaidi ya kidigitali nchini. Samuel pia amewasiliana na Waziri wa TEHAMA kuhusu usajili wa SAMALEN TV nchini Tanzania, licha ya changamoto za kiuratibu.
Ushirikiano wa Kimataifa
Samuel(Samalen) amefanya kazi na watu kutoka mataifa mbalimbali, ikiwa ni pamoja na:
• India
• Marekani
• Poland
• Uingereza
• Na nchi nyingine nyingi duniani.
Samuel Efrem Mosha (Samalen) ni mfano wa kuigwa kwa vijana wanaotaka kufanikisha ndoto zao katika biashara, teknolojia, na ubunifu wa kidigitali. Safari yake bado inaendelea, na dunia inashuhudia historia mpya ikiandikwa!
Picha& References