Dondoo Fupi za Jinsi ya Kubeti na Kushinda kila Unapobet - SAMALEN TV

SAMALEN TV

Trending on SAMALEN TV App

Notification texts go here Contact Us Buy Now!
Posts

Dondoo Fupi za Jinsi ya Kubeti na Kushinda kila Unapobet

Please wait 0 seconds...
Scroll Down and click on Go to Link for destination
Congrats! Link is Generated



Dondoo Fupi za Jinsi ya Kubeti na Kushinda mikeka yako

Kwanza, ngoja tupitie dondoo zinazojulikana zaidi ambazo zitakusaidia kupunguza idadi ya makosa unayoyafanya na kuzidi kujiongezea nafasi ya kushinda kila siku ukiona dondoo hizi zimekusaidia tafadhali njoo toa ushuhuda wako kwa SAMALEN TV ni bure kabisa hatutakutoza kiasi chochote ila usiache kutoa shukrani fuata dondoo zifuatazo kabla hujaweka mkeka wako;

  • Chagua michezo unayotaka kuicheza – kuliko kupoteza nguvu zako na ubunifu kuhangaika kucheza michezo mingi ni bora uchague mchezo mmoja ambao unauelewa vizuri zaidi na ubaki nao huohuo. Hii itakusaidia kuelewa mambo mbalimbali yanayohusiana na mchezo husika ili uweze kuweka mikeka ya ushindi.
  • Dhibiti hisia zako – kubeti kwa mihemko ndiyo njia ya kwanza ya kuanza kupoteza pesa zako, na hata kupoteza mtaji wako wote wa kubeti, hata uwe ni shabiki wa timu husika kwa miaka mingapi lazima utulize akili kwanza kabla ya kufanya maamuzi ya kuweka mkeka, vilevile usiruhusu furaha au uchungu wa kupoteza mkeka mmoja ikunyime hamasa ya kucheza na kushinda mkeka mwingine.
  • Usisahau kupumzika – ubora wa mkeka wako ni muhimu zaidi ya wingi wa mkeka wako, hivyo kama umechoka sana baada ya kuchambua mkeka uliopita kwa muda mrefu au una uchungu wa kupoteza mkeka mwingine ni bora uchukue muda kupumzika na kujipanga upya.
  • Jifunze kutokana na makosa yako yaliyopita – kama wewe ni mgeni kwenye michezo ya bahati nasibu, basi lazima tu utafanya makosa ambayo utakuja kuyajutia baadaye, hivyo basi hauna haja ya kujilaumu sana pindi unapokosea kwani ni nafasi yako ya kuweza kujifunza.
  • Fanya utafiti wa kutosha – moja ya dondoo muhimu zaidi za kubeti  ni kufanya upembuzi na uchambuzi yakinifu kwenye kusuka na kupangilia mikeka yako, kufanya utafiti kuhusu takwimu za timu na wachezaji husika vitakusaidia kupata uelewa mkubwa zaidi wa kufanya maamuzi kamilifu.
Ahsante kwa kusoma dondoo hizi bado Tutaendelea na njia nyingine kwenye Part 2 hakikisha unakuwa nasi Tufuatilie kwenye page zetu ili kupata maujanja zaidi SAMALEN TV ndio mpango mzima.
YouTube 👉 SAMALEN TV YOUTUBE
Download App 👉TUTECH ANDROID APP

Getting Info...

Post a Comment

Your message is directed to SAMALEN TV
Cookie Consent
We serve cookies on this site to analyze traffic, remember your preferences, and optimize your experience.
Oops!
It seems there is something wrong with your internet connection. Please connect to the internet and start browsing again.
AdBlock Detected!
We have detected that you are using adblocking plugin in your browser.
The revenue we earn by the advertisements is used to manage this website, we request you to whitelist our website in your adblocking plugin.