|
POWERED BY SAMALEN TV |
Pakua App hii Ili kujipatia Mafunzo Bora zaidi ya Teknolojia Kwa urahisi kupitia simu yako ya mkononi Utaweza kufanya mambo yafuatayo
- Kukutana na watu wenye ujuzi kama wako na kuchati au kujadili mambo mbalimbali Kwa pamoja.
- Utaweza kupata Mafunzo ya Teknolojia Kwa urahisi na Kila siku
- Utaweza Kununua bidhaa Kwa usalama zaidi na Kwa urahisi kupitia soko letu la mtandao
- Utaweza kuuliza na kuwasiliana nasi kupitia App hiyo
- Utaweza kucheza games mbalimbali utakapokuwa umepumzika kwenye muda wako Kwa ziada bila kutumia gharama kubwa za Bando
- Utaweza kupata Kozi Kwa Bei nafuu kupitia App yetu
Pakua App hiyo Kwa kubonyeza hapa TEKNOLOJIA 5G
Ni wakati wako sasa wa kutimiza Ndoto zako.-Samuel E