JINSI YA KUTUMIA JINA MOJA FACEBOOK NJIA RAHISI 2022. - SAMALEN TV

SAMALEN TV

Trending on SAMALEN TV App

Notification texts go here Contact Us Buy Now!
المشاركات

JINSI YA KUTUMIA JINA MOJA FACEBOOK NJIA RAHISI 2022.

Please wait 0 seconds...
Scroll Down and click on Go to Link for destination
Congrats! Link is Generated



Karibu Sana Kwenye website na app yetu ya TUTECH Leo hii tunaenda kuangalia ni Jinsi Gani tunaweza kutumia VPN kubadili Na kuweka Jina moja Facebook Fuatana nami Ili uweze kujifunza Jiunge nasi kwa habari za technology pia niachie comment Ili tuweze kuwa pamoja karibu.

Indonesia ni nchi pekee iliyoruhusiwa watu wake kutumia jina mmoja kwasababu hawana majina mawili kama kwetu. Kwahiyo kama mtu haishi Indonesia ni ngumu kubadilisha jina mpaka utumie VPN.

VPN ni software inayokuwezesha kubadilisha muelekeo wa kifaa chako, kitasomwa kipo nchi fulani. Mfano Mimi nipo East Afrika kwahiyo nikutumia VPN nibadilisha Location na nitaonekana nipo UK, US au Indonesia.

VPN pia itakusaidia kuingia kwenye website au social media zilizozuiliwa kwenye nchi fulani. China hawaruhusu kutumia WhatsApp kwenye nchi yao kwahiyo hata ukifungua haitafanya kazi lakini ukitumia VPN utaweza kutumia WhatsApp ukiwa China.

Mahitaji
.
Download Indonesia VPN

Fuata hatua hizi ili uweze kutumia jina mmoja Facebook

1. Download  Indonesia VPV na install kwenye simu yako. Fungua App yako na  hakikisha simu yako imeunganishwa na Internet
2. Bonyeza Indonesia



3. Bonyeza Indonesia Jakarta



4. Bonyeza connect



 5. Baada ya ku-connect muonekano wa app yako utakuwa unaonyesha ikiwa imeconnect



6. Ingia kwenye website ya Facebook au App ya Facebook. (mimi nishabadilisha tayari kwahiyo siyo tatizo). Bonyeza vimshale 3 juu kushoto mwa app yako ya Facebook.



7. Bonyeza kwenye kitufe cha language (hapo kwenye Bahama). Juu ya Free Basics
8. Chagua Bahasa Indonesia. Kisha bonyeza kitufe cha Back



9. Bonyeza kitufe cha Pengaturan (Settings)



10. Bonyeza Informasi Pribadi



11. Hapa lugha itabadilika itakuja kwenye lugha ya Kiingereza. Bonyeza kwenye Neno Edit.



12. Hapo utakuja ukurasa wenye majina yako. Andika jina mmoja kwenye first name or Surname, kisha weka password. kuthibitisha. Utakuwa umebadilisha jina lako. Rudi kwenye language badilisha lugha na weka unayotaka.

Mpaka hapa Indonesia VPN haina kazi tena. Unaweza kuifuta/Kuiuninstall. Jina lako litabaki hivyo hivyo hata utumie kifaa gani kuingia facebook utakuta jina mmoja tu.
Kama umependa makala haya Hakikisha unajiunga nasi na usisahau kututembelea YouTube kupitia Link hii SAMALEN TV ON YOUTUBE kama ukishindwa au ukiwa na changamoto yoyote Jiunge kwenye Group letu na uweze kuuliza chochote na kujifunza SAMALEN TV TECH TELEGRAM. Makala hii inapatikana kwenye App yetu ya TUTECH Hakikisha Una pakua app hii Ili kupunguza MATUMIZI ya data na kujisomea Kwa ubora DOWNLOAD TUTECH APP

Getting Info...

إرسال تعليق

Your message is directed to SAMALEN TV
Cookie Consent
We serve cookies on this site to analyze traffic, remember your preferences, and optimize your experience.
Oops!
It seems there is something wrong with your internet connection. Please connect to the internet and start browsing again.
AdBlock Detected!
We have detected that you are using adblocking plugin in your browser.
The revenue we earn by the advertisements is used to manage this website, we request you to whitelist our website in your adblocking plugin.