Habari naitwa Mcdonald ni mwandishi wa platforms mbalimbali za tech mitandaoni pia ni Mwandishi wa makala ya tech mitandaoni kwenye blogs na website zetu za SAMALEN TV Ambazo zinamilikiwa na Samuel Kim Manager&CEO wa SAMALEN TV Leo nitakupa njia mbalimbali unazoweza kuzitumia na kufaidi mitandao ya kijamii na kuingiza kipato kikubwa kila siku kabla tujaanza ningependa kukuomba kuchukua muda wako kidogo kwenda youtube na kutusapoti kwa Ku SIBSCRIBE LIKE COMMENT &SHARE SAMALEN TV
https://youtube.com/c/SAMALENTV
NJIA ZIFUATAZO ZITAKUTAJIRISHA MITANDAONI MWAKA 2022
1.KUMILIKI YOUTUBE CHANNEL
Katika ulimwengu huu wa digitali mtandao kama Youtube hutembelewa na maelfu ya watu kila siku Unaweza kutumia fursa hiyo kuanzisha chaneli yako na kuweka video zako online.
Utakapopata wafuasi wa kutosha unaweza kuingiza fedha kwa kutumia Google Adsense ambayo hutumika kuweka matangazo kwenye video.mfano hai channel yetu ya SAMALEN TV
2.Uhariri
Watu binafsi na wafanyabiashara pamoja na vyombo mbalimbali vya habari wana uhitaji mkubwa wa wahariri. Ikiwa wewe ni mtu makini kwenye masuala haya unaweza kufanya kazi hii online na kupata pesa nzuri.
3.Kuanzisha mtandao wa matangazo
Unaweza kuanzisha mtandao maalum wa online ambao unalenga kutangaza biashara binafsi pamoja na zile za mashirika za mtandaoni na kutengeneza fedha kupitia matangazo hayo.
4.Kuanzisha Podcast
Podcasting ni njia nyingine nzuri kwa wajasiriamali kutengeneza hela online Unaweza kuanzisha podcast yako mwenyewe na kuuza matangazo yako na ya wafadhili walio karibu na maudhui yako.mfano wa podcast yetu
https://anchor.fm/samalenfm/episodes/ep-eqj7a8
5.Kutoa mafunzo
Badala ya kutumia muda mwingi kutafuta ajira unaweza kutumia nafasi hiyo kutoa mafunzo online ya kitu ambacho una uelewa na ujuzi nacho kupitia mitandao mbalimbali. Mfano jinsi SAMALEN TV Platforms zinavyotoa mafunzo kupitia youtube forums websites na mitandaoni
6.Kuanzisha blogu
Kama wewe ni mwandishi unaweza kutengeneza pesa online kwa kuanzisha blogu yako na kuandika makala au habari mbalimbali Unachotakiwa kuzingatia ni mahitaji ya walengwa wako na kuwapa kile wanachotaka.Kama wewe ni shabiki mkubwa wa masuala ya mpira basi blogu yako ihusiane na michezo. Kupitia blogu unaweza kujiingizia kipanto kutokana na matangazo na idadi ya watu wanaopitia habari zako.mfano blog yetu hii.
Ahsante kwa kupitia blog yetu Follow us uendelee kuelimika nasi
Follow us
Youtube https://youtube.com/c/SAMALENTV
Instagram@Samalen_tv
Facebook@Samalen Tv
Whatsapp on youtube only for business
TUNATANGAZA BIASHARA YAKO KWA BEI NAFUU WELCOME messages on our email
samalentv21@gmail.com