JINSI YA KUFAHAMU KAMA MEMORY CARD YAKO NI FAKE AU ORIGINAL 2023 GENUINE OR FAKE? - SAMALEN TV

SAMALEN TV

Trending on SAMALEN TV App

Notification texts go here Contact Us Buy Now!

JINSI YA KUFAHAMU KAMA MEMORY CARD YAKO NI FAKE AU ORIGINAL 2023 GENUINE OR FAKE?

Please wait 0 seconds...
Scroll Down and click on Go to Link for destination
Congrats! Link is Generated

 

JINSI YA KUFAHAMU KAMA MEMORY CARD YAKO NI FAKE AU ORIGINAL 2023 GENUINE OR FAKE
Memory card zimekuwa ni msaada mkubwa kwenye uhifadhi wa data zetu kumekuwa na memory card nyingi sana mtaani lakini sio zote ni original. Unaweza nunua memory card ya 2 gb 4 gb au 8 gb na ukakuta uwezo wa memory card ni nusu ya uwezo ulioandikwa juu kwenye memory card na unaweza ukaangalia propert yake na ukaona ujazo sahihi uliopo juu kwenye sd card yako lakini inakuwa haina uwezo ule uliouona bila Kupoteza muda twende kwenye makala yetu ya Leo lakini kabla hatujaendelea tunaomba utufuatilie kwenye Mitandao ya Kijamii hasa YouTube Facebook na Instagram search SAMALEN TV bonyeza hapa Kujiunga na Channel yetu ya Teknolojia YouTube 

SAMALEN TV YOUTUBE pia Unaweza Kujiunga nasi telegram kwenye group la Teknolojia SAMALEN TV TECH TELEGRAM Makala hii Inapatikana pia kwenye app yetu ya Teknolojia 5G ipakue Kwa kubonyeza hapa TEKNOLOJIA 5G APP twende kwenye makala yetu ya Leo 

Jinsi ya kutambua original na fake memory card


Kuna njia nyingi za kutambua memory card kama ni fake au original kwa kutumia software na apps mbalimbali kwenye simu au computer.

kwa kutumia simu 

Download/Pakua app inaitwa SD Insight au bonyeza hapa kuipakua App hiyo Kwa urahisi SD INSIGHTS SAFE LINK

weka memory card yako kwenye simu na fungua app yako ya sd insight na app inatakiwa kukupa taarifa zote muhimu kuhusu mmory card yako kama ni original au fake basi utapata kujua kwa kuwa itakupa ujazo kamili wa memory card yako kutumia njia nyingine hasa za computer na njia za kuangalia muonekano kama ilivyopicha hapo juu tutakuja kuziangalia Kwa umakini kwenye channel yetu ya YouTube Hakikisha unaendelea kuwa nasi Kwa kujiunga nasi na Ku SUBSCRIBE niachie comment yako hapo chini kuhusu kipindi Cha Leo Ili kujishindia zawadi mbalimbali msimu huu Asante kwa kusoma makala hii natumaini imekusaidia. 

Getting Info...

تعليق واحد

  1. Nice 👍 SoMo zuri sana
Your message is directed to SAMALEN TV
Cookie Consent
We serve cookies on this site to analyze traffic, remember your preferences, and optimize your experience.
Oops!
It seems there is something wrong with your internet connection. Please connect to the internet and start browsing again.
AdBlock Detected!
We have detected that you are using adblocking plugin in your browser.
The revenue we earn by the advertisements is used to manage this website, we request you to whitelist our website in your adblocking plugin.