JINSI YA KU DOWNLOAD,KU UPDATE NA KU INSTALL DRIVERS ZILIZO MISS KWENYE COMPUTER YAKO 2022 - SAMALEN TV

SAMALEN TV

Trending on SAMALEN TV App

Notification texts go here Contact Us Buy Now!

JINSI YA KU DOWNLOAD,KU UPDATE NA KU INSTALL DRIVERS ZILIZO MISS KWENYE COMPUTER YAKO 2022

Please wait 0 seconds...
Scroll Down and click on Go to Link for destination
Congrats! Link is Generated


 Habari ndugu mpendwa mfuatiliaji wa blog yetu nimara nyingi tumekuwa tukipitia matatizo mbalimbali kwenye computer zetu ikiwemo kushindwa kutazama movies na video katika ubora kuwa na scratch video zenye quality kuanzia 720p au tumekuwa tukishindwa ku access Bluetooth, wifi, hotspot, networks, na baadhi ya mambo mengi huenda ulikuwa haufahamu tatizo lakini tatizo ni kwamba huenda pc yako hai sapoti baadhi ya features au kuna driver zime miss kama uki update drivers zote bado ikikataa wasiliana nasi. Pia karibu sana kwenye jamii yetu ya YouTube @SAMALEN TV SUBSCRIBE Tujifunze pamoja.

kama kuna driver inakosekana basi jambo la kwanza kufanya nikuhakikisha Computer yako imeunganishwa na mtandao/yaani internet.

  1. Hatua yakwanza nikudownload Driver easy unaweza kui download kupitia link hii http://bit.ly/SAMALENTVDriverEasy2022 ina MB 5 tu Kabla hatuja endelea tunaomba sapoti yako kwa ku SUBSCRIBE channel yetu youtube kupitia link hii https://youtube.com/c/SAMALENTV
  2. Install software ya driver easy
  3. Fuata tu maelekezo mpaka utakapobofya button ya “finish”
  4. baada ya hapo nenda katika desktop kaifungue, utaona kunasehemu imeandikwa “scan”
  5. Maana ya hilo neno ni kwamba “scan computer yako moja kwa moja ikiwa mtandaoni ili uweze kuona drivers gani zina miss automatically njia hii ita detect missing drivers
  6. Baada ya kuscan utaona kulia kumeandikwa maneno haya “update au download”
  7. click download button kwa juu kisha ataona drivers zote zinazo miss
  8. kila driver ataona ina button ya ku download au update kwa pembeni kulia
  9. Download kisha zikimaliza utakuwa unaona sehemu zimeandikwa “install”
  10. Driver easy huwa inatoa option mbili za kuinstall yaani “auto” au “manual”, hapa unapaswa utumie manual huwa inakuwa option ya chini, ambapo utatakiwa kuipiga tiki kisha itakupeleka katika folder linalosave drivers baada ya kudownload Na mwisho endelea kufanya installation          Ukimaliza installation sometimes computer itahitaji ku restart na ni vyema zaidi ui restart. 


Mwandishi wa post hii ni Samuel Kim moderator SAMALEN TV Karibu kwenye duka letu la SAMALEN SHOP ujipatie bidhaa kwa Discount hadi ya 80% pia website ya SAMALEN SHOP unaweza kuipitia hapa click here 👉 SAMALEN SHOP

Getting Info...

Post a Comment

Your message is directed to SAMALEN TV
Cookie Consent
We serve cookies on this site to analyze traffic, remember your preferences, and optimize your experience.
Oops!
It seems there is something wrong with your internet connection. Please connect to the internet and start browsing again.
AdBlock Detected!
We have detected that you are using adblocking plugin in your browser.
The revenue we earn by the advertisements is used to manage this website, we request you to whitelist our website in your adblocking plugin.